KIGOGO NOTES- MWONGOZO WA KIGOGO
Get Kigogo notes below. MWONGOZO WA KIGOGO- 1 ANWANI YA TAMTHILIA. Kigogo ni mtu mwenye madaraka makubwa kiutawala. Majoka anatumia madaraka yake kulaghai wananchi, anachukua vilivyo vyao. Anatangaza kipindi cha mwezi mzima cha kusheherekea uhuru kutumia madaraka aliyonayo. Majoka anafunga soko la Chapakazi ili sehemu hiyo ajenge hoteli ya kifahari kwa kutumia madaraka aliyonayo. Anapandisha […]
KIGOGO NOTES- MWONGOZO WA KIGOGO Read Post »




